ULIKUWA WEWE — Cantiques EUJC

N° 10

ULIKUWA WEWE

1.

Ulikuwa (wewe) 2x katika edeni shamba la mungu kerubi lenye kungaa, "Lucifero ulipendwa na bwana mumba wako^2x kakuvika mawe ya bei lulu ya damani.

Refrain

Lusifero kua wingi wa uchuruzi ulitengua mbali na mungu wa uzima.

Commentaire

Com :-ulipo jitukuza -ulipo jinyanyuwa Karibieni mumbaji toka mu mambo ya watu^2x

2.

Ulipenena moyoni mwako Lusifero nitapaa juu mbinguni kuliko nyota za bwana kuliko mulima wake takuwa mu juu.

3.

Apo, apo, vita mbinguni Mikaeli na yule joka , shetani katupua chini na jeshi lake lote, Diabolo katupua chini na jeshi lake lote mukia ukakokota sehemu moja ku tatu ya nyotaza mbingu furahini mbingu ole wako dunia.