TUMEVUKA LEO BAHARI KUBWA — Cantiques EUJC

N° 103

TUMEVUKA LEO BAHARI KUBWA

1.

Tumevuka leo bahari kubwa kwelekea kanana inchi ya amani, "Farao na jeshi yake yote wamekufa baharini "2x

Refrain

Wenye kulala muhamke , wenye kuketi musimame, vit aya tuongajeva mbele yetu hili tusiingie kanana inchi ya wateule wajoli twende. Basi twende kanana , twende, twende kanana

Commentaire

Com :-Tukashinde vikwazo twende , twende kanana

-Tukariti uzima

-Tukashinde na miji

2.

Jazareni wenzangu tusiwe mu miji yote miji ni kitu kibaya tusi fariki njiani tusiwe mateka. Miji eh e miji e , miji ni kitu kibaya ili uli uwishayoane wa mungu kwa Herode mufalme basi yoane wetu akafa , yoane kwajili ya miji .

Commentaire

Com :-Miji ya kula na kunywa akafa yoane kwajili ya miji

-Miji ya kutumbukiya

-Miji ya kuomba omba

3.

Tuwe na imani yenye bayana na hakikisho tusiwe kama wajinga katika akili zetu , bayana kwa kila jambo wajoli katika neno la mungu tusiwe mateka 2x miji eh e miji ni kitu kibaya ili uwisha yoane wa mungu kwa Herode mufalme , basi yoane wetu akafa , yoane kwajili ya miji.

Commentaire

Com :-Miji ya kutumbukia akafa yoane kwajili ya miji

-Miji ya kupenda vipia

-Miji ya kula na kunywa