N° 105
TASEMA NINI MIMI MUNAZIRI WA MUNGU
1.
Tasema nini mimi munaziri wa mungu (eh mungu ) Tasema nini mimi munaziri wa mufalme " Nimetekwetakewa njiani kwa mitego moyo wangu ufazaika "2x
2.
Mungu tazama akili zangu zimenitoa shambani mwako~2x Mungu wa uzima ni shushie maharifa eh baba ni riti shamba lako Mungu wa uzima ni shushie maharifa eh baba ni riti chamba la Edeni .
3.
Umenitoa mavumbini niwe muchungaji wa dunia Umenitoa mavumbini hili ni pate wokovu Mungu wa uzima ni shushie roho wako eh baba hili aniongoze.
Refrain
Uniokoe , uniokoe , uniokoe bwana wa rehema .2x Uniokoe bwana wa rehema jina lako lisifiwe ( eh baba ) uniokoe bwana wa rehema jina lako liogopwe.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand