NIMEMUONA BWANA MOYONI MWANGU — Cantiques EUJC

N° 106

NIMEMUONA BWANA MOYONI MWANGU

1.

Nimemuona bwana moyoni mwangu ( kweli moyoni mwangu) maana neno lako limefika kwangu.

Refrain

Yesu amesimama mulangoni pa moyo ( mulangoni pa moyo ) ili akuokowe wewe unae potea Ahaa alelua "2X Alelua amina

Commentaire

Com : Pokea sifa alelua alelua amen.

2.

Kwa kuriti kanana tujitakase ,(tujitaakase) tupigane vita na miji hiyo : -muhiti , mwamori, muyebusi, mu hamori, mufilistini, muhu na muperezi, mugilkasi , muhiti na mutengia.

3.

Rahaba kahaba kaokolewa (kaokolewa) kwani alificha wa pelelezi "2x

Refrain

Ila Jehova mungu uniokowe eh baba katikati ya njia , katikati ya njia uniokowe eh baba katikati ya njia

Commentaire

Com :-Mbele ya walozi wote

-Mbele ya wa pinga neno

2.

Ulipiga Hogi mufalume wa basani ( eh mungu wangu )2x ukagarikisha Farao pia na jeshi lake.

3.

Jehova mungu mufalme wa haki ( mungu wangu ) jehova mungu mufalume wa haki " Uliangusha mafalme ukasimamisha ufalme "2x