WATU WENGI WANAPENDA KUPATA UZIMA — Cantiques EUJC

N° 107

WATU WENGI WANAPENDA KUPATA UZIMA

1.

Watu wengi wanapenda kupata uzima kwalakini neno la uzima ni ngumu kwa kuyatimiza 2x

Refrain

Kweli kweli na ma jeshi kumbinga mwinunge sasa vita hiyo ni mbele yetu.

Commentaire

Com :-Mikaeli wa mungu mwinunge sasa vit hiyo ni mbele yetu

2.

Uliiita Jehova , jina la hasira, (Farao anatesa wana wako siku nyingi sana)2x

3.

Tukipenda kuomba sisi tule kwa baba tumwalike Mikaeli wa mungu aje atujaze nguvu. Tumwalike Somsoni wa mungu aje atujaze nguvu .