N° 113
KILIYO CHANGU MIMI
1.
Kiliyo changu mimi naliya ku musalaba kua wonya kuangu mimi na wawonya kua machozi « naliliya baba na tabika tabika kueli natabika »2x
2.
Vazi lango yamechafuka aya shaka na ovu « vyani tabisha mimi munaziri naliya muana natabika » 2x
3.
Kiapo changu mimi nachoka na via duniya «nasubiri roho mufaridji naliliya roho natabika ata nifaridji mu tabu yangu na ziki zote duniyani »2x
Refrain
naliliya baba natabika naliliya muana na tabika naliliya roho na tabika tabika kueli na tabika 2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand