TAZAMA ULIMWENGU — Cantiques EUJC

N° 118

TAZAMA ULIMWENGU

1.

Tazama uli mwengu vita na vita utujiya pasipo kujua kitu tuapiganishwa vikali pasipo kujua neno tuapigashwa vikali 2x

2.

“kwa kushindana na vita tusimame imara muneno”(kweli sisi)<<tukimuomba Mungu baba tutashina vita viota>>2x

Refrain

(Basi J ehova Mungu)katudjaza sisi awa tumeshinda

3.

basi mumbaji wangu katudjaza............

Commentaire

katudjaza kushindana na nyama katudjaza……........

katudjaza kushindana na falo katudjaza.............

katudjaza kushindana na shetani katudjaza......

tuwache nzambi tufuate neno katujaza………..........

tuwache wongo tufuate kweli katudjaza.........

tuwache sira tufuate J ehova katudjaza.........

basiJ ehova Mungu katujaza............