N° 13
NILIONA ALAMA KUBWA
1.
Niliona alama kubwa kutoka mbinguni (kutoka mbinguni) Mwanamuke aliye vikwa juwa, mwezi na nyota tenashara kichuani mwake. Natena alama nyingine kajarika joka mukubwa mwekundu na vichwa saba na pembe kumi kasimama mbele yake.
Refrain
Eh wajoli wangu tujazare, djoka yule amekuisha simama kwa kwaribu kazi.
2.
Wewe ni muke yule umekuisha pewa hekima ya mbingu.
3.
Mwana ni roho wa kristo ni karibu sasa kushuka kwetu "Ona sasa huaribifu huwo^2x
Commentaire
Com :- Mambo ya vizazi inaanza tena - Mukufuru ^ ^ ^ ^ ^ ^ ^ ^ ^ ^ ^ ^ ^ ^ ^ ^ ^ ^ ^ ^ - Twende wapi na neno hiyo
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :-Ni miongoni mwetu tujazare -Ni papaya nasi tujazare