MUTU MUMOJA WA SORA — Cantiques EUJC

N° 137

MUTU MUMOJA WA SORA

1.

Mutu mumoja wa sora wa jama la dani manoa na muke wake jina lake manoa na muke wake malaika wa bwana akajirika kwao alipo kuwa shambani.

Refrain

Aleluya fahari , fahari utukufu wa jeho va "2x Mimi nazaa mwana fahari utukufu wa jeho va Samson iwa mungu fahari utukufu wa jeho va

2.

Malaika kawambia "mutamuzaa mwana mume mnaziri wa mungu "2x malaika wa bwana akawagiza ivio walipo kuwa shambani.

3.

Usinyowe noyle zake , usinywe kileo cha nguvu wewe usile kitu kichafu mwana huyu mnaziri wa mungu "Ataokowa israeli kwa wafilistini awatowe utumwani "2x