SAMSONI NGUVIYA MUNGU — Cantiques EUJC

N° 139

SAMSONI NGUVIYA MUNGU

1.

Samsoni nguvu ya mungu akapenda binti za wafilistini "wake awa wasaliti na wa fia feza "2x

Refrain

Delila akamwambia samsoni wafilistini ni juu yako nguvu zi kamwacha samsoni naye akashikwa.

2.

Wafilistini wakajuwa adisi zake na siri za unaziri wake ah yoyowe "musingelima na ngombe zangu amungejuwa siri zangu "2x

Commentaire

Com :-Watu wa mwili musinge lima na ngombe zangu , amunge juwa siri zangu. -Watu dunia - - - - - - - - - - - - - - - - -Wa farisayo - - - - - - - - - - - - - - - - -

3.

Yesu wa mungu alikuja kututoa utumwani hakuwa na kosa yoyoyo muhukumu wa haki kashitakiwa mbele ya kaisari. Na kusingiziwa mamboya uongo na walio wake "Yesu akawa mushindi atakufa , (yeye) yeye yuha i na milele daima. " 2x