N° 143
DAUDI MUTU WA VITA
1.
Daudi mutu wa vita (Daudi ) "Bwana kampu ushindi Daudi wa kushinda Goliati "2x "Bondeni mwa yordani wakifia ufalme "2x
Refrain
Ushindi wa nan iwa Daudi , wa nani wa Daudi mufalme wa kupigana vita .
2.
Walipo kuwa mulimani Goliati kasimama "mwenye urefu wa mikono sita na nusu mukuki mkononi mwake tushuke bondeni"2x
3.
Daudi kaona ndani mwake mulikuwa mawe mbili akaiweka kwenye kombeo akapiga Goliati mu uso akanguka Daudi mushindi kakata kichwa akaenda nakyo yerusalema.
Commentaire
Com : -Kwa kuonesha ushindi kakata kichwa akaenda nakio yerusalema -Kwa kuonesha ufalme " " " " " " "
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :-Wa kushinda madui wa Daudi , wa nani wa Daudi mfalme