VITA NYINGI NA KALI — Cantiques EUJC

N° 144

VITA NYINGI NA KALI

1.

Vita nyingi na kali zi menijia mimi huyu "Jehova mungu mufalme ujitukuze kwa mambo aya"2x

Refrain

Ila kwa jina lako baba mufalme wangu usinyache.

Commentaire

Com : -Jehova mungu baba mufalme wangu usinyache -Ata nikipiganishwa " " " " " " " -Ata na walozi wote " " " " " " "

2.

Mafalme za giza wame kusanya eh , mafalme za giza wamekusanya ila kwa jina lako baba mufalme wangu usinyache.

3.

Wame nichimbia shimo wametandika mitego wa metafuta uzima wangu kwajili ya neno la uzima .

4.

Ulimwokoa Abramu, ulimwokoa na Lutu, "Ulimwokoa Danieli pangoni , ukamushindia Daudi"2x