N° 145
FURAHA MBINGUNI
1.
Furaha mbinguni anatupwa yule nyoka«ole wako duniani muchongonzi ameshushwa »
Refrain
Tuimbe wokuvu kwa buana mungu ye anayeketi « juu ya kiti tshia enzi muana kondoo wa mungu ». 2x
2.
Nyoka kufika duniani aka aribu mambo yote « asikulaaniwa na watu wakatabishwa »
3.
Kweli rehema yake mungu kakumbuka Israeli « kwa neno nila rohoni watu wakaokolewa ».
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand