WEWE HAUTAMUJENGEA NYUMBA MUNGU — Cantiques EUJC

N° 147

WEWE HAUTAMUJENGEA NYUMBA MUNGU

1.

Wewe hautamujengea nyumba mungu waisraeli "2x "Damu ya watu wengi mikononi mwako "2x na vita nyingi juu ya watu wengine

2.

Kaini aliuwa ndugu yake Abeli "2x damu ya abeli mikononi mwake na vita nyingi juu ya watu wengine.

3.

Yudasi alimutoa mwana mungu alie hai "kwa vipande salasini via feza¨ 2x ¨na vita nyingi juu ya watu wengine¨2x

4.

Nitoe nani yesu ao baraba , yesu mwana wa mungu afe asulubiwe "na vita nyingi juu ya watu wengine¨2x