N° 156
UKINGONI MWA MUTO YORDANI
1.
Ukingoni mwa muto yordani Elisa na joo la Elia yuko wapi mungu wa Elia , njoni mwone ujo wa bwana , njoni mwone ujio.
Refrain
Muhuri wa mungu ni vichwani mwetu atukuzwe mungu wa uzima .
2.
Roho mwema musemi wa Yoeli aliwaidia wa mitume na kuakikisha ju yao roho mwema wa kristo , roho mwema roho wa kristu .
3.
Akikisho la kutakasika ushuhuda wa uzima njema ushirika wa mungu na watu yu haja miongoni mwetu , yu haja miongoni.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Uvuni wa moto ni vichani mwetu atukuzwe mungu wa uzima -Na mafuta kweli tumepakaliwa " " " " " "