N° 160
MUNGU WA IBRAHIMU,MUNGU WA ISAKA NA MUNGU WA YAKOBO
1.
Mungu wa Ibrahimu , Mungu Isaka , na Mungu Yakobo ulitenda mambo ya ajabu hawali kwa walio wako "ulitenda mambo ya ajabu yoyoyo kwa walio wako "2x
Refrain
Mungu wangu unifariji katika uweza wako unifariji
2.
Mungu kwa maajabu yako, Danieli pangoni mwa simba wala umizo wala mukovu haikujirika mwili mwake ila Danieli kasitawi kwa utawala wa dario na kiro mupersi.
3.
Muti murefu kajirika mulinzi toka mbinguni kahukata , muniororo ukaufunga na umande wa mbingu kaotesha .
-Mungu wa uzima tenda maajabu yoyoyo kwa walio wako
-Ata kwa sasa
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Eh baba -Yesu mwana -Roho mwema