N° 165
SHUKURANINI NAYO
1.
« Shukurani ninayo tamupa Yehova Mungu » Baba nitakushukuru Mungu wa Abrahamu Baba nitakushukuru Mungu wa Izaka Baba nitakushukuru Mungu wa Yakobo
Refrain
Mungu ninakushukuru wewe ni muumbaji Yesu ninakus hukuru wewe ni muokozi Roho ninakushukuru wewe ni faradja
2.
« Yehova mungu wewe ni tegemeo langu » Baba nitakushukuru Mungu wa Abrahamu Baba nitakushukuru Mungu wa Izaka Baba nitakushukuru Mungu wa Yakobo
3.
« Uzunina tabu tamupa Yehova Mungu » Yeye niye soloiso ya magonjua yangu Yeye niye soloiso ya maisha yangu Yeye niye soloiso ya kuzaa kwangu Yeye niye soloiso ya kulia kwangu
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand