KULIKUWA MUTU MUNIOFU — Cantiques EUJC

N° 166

KULIKUWA MUTU MUNIOFU

1.

Kulikuwa mutu muniofu alie pendwa na mungu mwenye imani nyingi jina lake ayubu katika ubishi mukali wa mungu na ibilisi "2x

Commentaire

Com : -Ibilisi kamwambia mungu nataka ayubu akuhache

2.

Mungu kamwambia Ibilisi fanya lolote utakalo ila mimi na jua uyo awezi kuniacha , ila mimi na jua uyo awezi kuni hasi shetani kamwendea yobu na kumwambia amwabudu lakini ayubu alibaki imara mutu mwenye imani alimuogopa mungu.

3.

Mali na vifungo viake viote vikapotea "2x ayubu aliteseka kwa kidonda vidonda , marafiki wakamcheka , familia likamupotea "lakini yobu kabaki imara kwa mungu "2x