SHAMBA LA NABOTI AHABA — Cantiques EUJC

N° 174

SHAMBA LA NABOTI AHABA

1.

Shamba la Naboti ahaba ameuhsa nafsi yangu amepanda maboga nimefariki kwa bwana "2x

Refrain

Yakini yakini imani yako ndio wa nayo ipiganisha mutu akiaribu imani yeye anabaki tuta. 2x

Commentaire

Com : -Na bakituta ya kupanda buovu imani yako ndio wanayo ipiganisha mutu akiaribu imani yeye anabaki tuta -Na bakituta ya kupanda bulozi -Na bakituta ya kupanda buchawi

2.

Shamba , shamba la Naboti yezebeli kawuisha Naboti kwajili ya shamba .

3.

Shamba , shamba la Naboti wa kamutumia yezebeli habari leo Naboti ameuwawa kwa mawe.

4.

Shamba , shamba la Naboti mujoli ficha zawabu yako utafariki damu yako mikononi mwako.