NANI ANAJUWA SIKU — Cantiques EUJC

N° 175

NANI ANAJUWA SIKU

1.

Nani anajuwa siku ( nani anajuwa siku ) siku bwana atakuja kuhukumu dunia baba yangu kwa uweza wako "2x

Refrain

Ndungu ole kwa kiburi chako utaangamia .

Commentaire

Com : -Na kiburi awache uta chomwa moto na kiburi chako utaangamia -Na bwivu awache " " " " " "

2.

Utasema nini wewe ulifunzwa na Musa uka onywa na Yesu ndungu utasema nini"2x

3.

Waminifu mu njia mukumbuke Sarai mama yetu akuzaa mwana alihitwa Sara mama yetu akazaa mwana