N° 177
TUSHUKURU MUNGU"3X
Refrain
"Tushukuru mungu "3x , kwa kuwa ni mwema , tushukuru mungu kwa kuwa ni mwema"2x
1.
Bwana mungu , katupenda kamutoa "mwana wake yesu wa mungu akaja kwa kuniokowa mimi "2x mimi huyu nashukuru mungu wangu kwa kuwa ni mwema "2x
2.
Bwana mungu katupenda kamutoa roho wake , roho wa mungu akaja kwa ku nifariji mimi roho wa mungu akaja kwa ku nifariji mimi , mimi huyu na shukuru mungu wangu kwa kuwa yeye ni mwema.2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand