N° 179
NJONI TWIMBE NA FURAHÀ
1.
Njoni twimbe na furaha , na furaha njia imefunguliwa ya mbinguni kwa walisitiriwa bwana utuonyeshe .
Refrain
Mfalme twakushukuru , twakushukuru , bwana twakushukuru jehova , Baba mungu alimutoa mwana wake yesu kristu aokowe watu.
2.
Shetani ulipinga , neno lake mwokozi (kweli ,kweli ) yeye ni adui zetu ,, hutaka utwangamiza.
3.
Shida , shida ni eyingi sana , nyingi sana mashindano ni mengi , aleluya ( kweli kweli ) bwana utufariji ) katika mahasi zote
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand