N° 180
TWASIMAMA MALANGONI
1.
Twasimama mafangoni pamoja na malaika zake tukimwimbia yoyoyo tukimwimbia bwana "2x
Refrain
Aleluya , aleluya "2x yoyoyo aleluya mungu mufalme , aleluya mwana wa mungu , aleluya roho mwema wajoli twimbieni bwana.
2.
Twaimba , twaimbia mungu baba , twaimbia sisi twaimbia mungu mufalme , wateule wa mungu wa uzima twaimbia mungu mufalme , twaimbia yesu mwana , twaimbia roho mwema
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand