N° 181
NDUGU ZETU WAPENZI
1.
Ndugu zetu wapenzi njoni , njoni muone , kwaleo "Kwa leo ni siku ya kuketi ku mawingu"2x
2.
Kwa kupata hadi ni roho wa mfulaume , kwa leo "Kwa leo ni siku ya kuketi ku ma wingu"2x
3.
Pokeeni upendo mukiwaonesha watu "Kwa leo"kwa leo ni siku ya kuketi ku mawingu "2x
4.
Acheni ulozi kwa kupata hadi , "Kwa leo "kwa leo ni siku ya kuketi ka mawingu.
5.
Duniani mupo uwovu eh mimi sitaketi duniani kwa leo , kwa leo ni siku ya kuketi ku mawingu.
6.
Nitaenda kuketi mimi na roho ya mufalume kwa leo , kwaleo ni siku ya kuketi ku mawingu.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : Ku mawingu kwa baba