N° 193
ANA HUYU KAJIRIKA
1.
Ana huyu kajirika kuwa mutumishi wa bwana naye aliitaji kupata mwana kwa faraja ya bwana ~Basi katoa naziri yake ya kama mwana utakaenipa eh baba atakuwa wako ~2x
Refrain
Kilio iki kikafika ku mukono wa bwana , kilio iki kikafika kwa nguvu ya bwana nimepata mwanamume kwa mfulame eh baba nimepata mwanamume kwa mfulame .
Commentaire
Com : -Basi mungu wangu ananisikia nimepata mwanamume kwa mfulame
-Basi mungu ana ni kubali " " " " " " " "
-Kwa maombi yangu ananisikia " " " " " " " "
2.
Walipo muzaa Samweli waka mupeleka Ekaluni kwa kuhakikisha agano walilo lifanya na bwana , basi mwana akakuwa musafisha viombo na musafisha Ekalu la bwana machoni pa mfulame .
Commentaire
Com : -Muhubiri wa neno na musafisha Ekalu la bwana machoni pa mfulame
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : Musomaji biblia mwana utakaenipa eh baba atakuwa wako
-Mupikaji wa ngoma " " " " " " " "
-Muhubiri wa neno " " " " " " " "