N° 196
SAFINA KUSHUKA MU HARARATI
1.
Safina kushuka muhararati "Noa akatoka na jamaa lake na nyama zote zilizo safi kwelekea pa kavu "2x
Refrain
Upinde alama la agano kwetu "Faraja hiwe juu kwa samawi "2x Faraja hiwe kwa zambawi itawale kwa rangi nyekundu sita haribu tena kwa maji.
2.
Noa akalima mizabibu yake "Kaingia tena hemani mwake katumia mvinyo kalala humo akamufunua "2x
3.
Jazareni wanangu twepuke laana ya kanana simameni twende mbele cha mugongo tufinike utpu wa baba zetu tupate baraka ya Yafeti tupate baraka ya semu tutaishi milele.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Vifaranga viangu Twende mbele cha mungongo tufinike utupu wa baba zetu tupate baraka ya yafeti , tupate baraka ya semu tutaishi milele.
-Malimbuko ya bwana
-Waminifu wa mungu
-Waminifu mu njia