NINAYO SAFARI — Cantiques EUJC

N° 206

NINAYO SAFARI

1.

Ninayo safari ya kwenda mbinguni, mbinguni kwa baba.

Refrain

Njiani muna vikwazo vinavyo angusha wengi, visiki na magogo vinavyo angusha wengi ni nani awezae kuviondoa viote akuna mwengine ila yesu mwokozi.

2.

Safari ni ndefu ya kwenda mbinguni na tena ni ngumu.

3.

Ulevi , uzini , uwongo na chuki ni visiki na magogo.