NILIANGAIKA APA DUNIANI — Cantiques EUJC

N° 209

NILIANGAIKA APA DUNIANI

1.

Niliangaika apa duniani si kuona njia , mungu wa rehema akatuma mwana wake kuniokoa.

Refrain

Ah wewe , wewe ninani , na mimi ni nani , mimi na wewe umejiweka pahali pa mungu kuhukumu wa chakuliwa wake , tumejiweka pahali pa mungu kuhukumu wa pakaliwa mafuta .

2.

Bwana yesu alisema mimi ndimi njia kwa kumona baba paka unapita mule nilopita ah ah wajoli wangu tumufwate yesu mwana atuongoze.

3.

Bwana yesu alisema mimi ni muzabibu baba yangu mukulima na mimi matawi, tawi, tawi litakalo jitenga nami kweli litateketea.