NILIPO KATIKA BWANA — Cantiques EUJC

N° 213

NILIPO KATIKA BWANA

1.

Nilipo katika bwana nikapata uzima ila natarajia maisha yangu ya pili "Ili ni pate kuishi milele "2x

Refrain

Kweli mulima wangu uwe kumbusho langu wakati mwili na roho zinapo farakana "2x

Commentaire

Com : -Basi mafundisho ya roho iwe kumbusho langu wakati mwili na roho zinapo farakana.

-Basi mafundisho ya neno " " " " " " " "

2.

Mulima wangu iwe kumbu kumbu langu "Kati ya mwili na roho ndoa ikatimia "2x

3.

Mungu wa mababu nyeshesha mvua yako iliiyo yote akimilishe uzima wamilele kwa mapenzi yako"2x