N° 214
KUSAFIRI KW/AKE YESU
1.
Kusafiri kwake yesu katika yeriko "2x humo yeriko palikuwa vipofu wakiomba kando ya njia.2x
Refrain
Ewe mwana wa Daudi unirehemu baba rehema yako ni ya milele
2.
Makutano mukupita vipofu uliza jambo hili ni nini "2x watu wale wa kawambia yesu huyu mwana zareti amepita leo.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Uliponya na vilema ewemwana wa Daudi unirehemu baba rehema yako ni ya milele.
-Uliponya na vipofu " " " " " " " " " " " " "