KUPANDA KWAKE YESU — Cantiques EUJC

N° 215

KUPANDA KWAKE YESU

1.

Kupanda kwake yesu mulimani akatwaa Petro eh Petro na Yoane , Yakobo akikisho letu.

Refrain

Musa na Elia walijirika pale yoyoyo wakisema na bwana maneno ya siri.

Commentaire

Com : -Maneno ya mbingu wakisema na bwana ya siri ya roho

-Kweli Musa na Elia " " " " " " " " " "

2.

Kule mulimani bwana yesu kageuzwa sura yake kangaa kwa utukufu wake "2x

3.

Wanafunzi kamwambia bwana tujenge hema tatu tukea hapa sisi inafaa kwetu.

Commentaire

Co m : -Tuka subiri roho ! tukea hapa sisi inafaa kwetu .