N° 228
WE ULIE MUPOTEVU
1.
We ulie mupotevu kumbuka unayo tenda "Ukiwa mwenye kujiuliza ndani yako wewe "2x (wewe mujoli)
Refrain
"Ujiulize , ujiulize mujoli"2x ujiulize , ujiulize "kama yote unayo tend aya pendeza mwenyezi wa uzima "2x
2.
"Yulemwana mupotevu akaanza ku jiuliza "2x akisha poteza mali akaomba toba yake.
3.
Mbele ya kutenda jambo ni vizuri kujiuliza usiuwe manabii walio ndani yako.
Commentaire
Com : -Mujoli usiuwe manabii walio ndani yako
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Mwana huyu akisha poteza mali akaomba toba yake
-Kwa baba yake " " " " " " "
-Nyumbani mwao " " " " " " "
-Mujini kwao " " " " " " "