WENYE NA MIZIGO NJONI — Cantiques EUJC

N° 229

WENYE NA MIZIGO NJONI

1.

Wenye na mizigo njoni , njoni nyinyi wa bebao mizigo mizito yesu ukualika njoni nyinyi wa bebao mizigo mizito.

Commentaire

Com : -Huko wewe una jificha na mizigo yako

-Uwendapo na mizigo yako

-Uketipo

-Ulalapo

-Ati baba "Konokono wa mama wa masikio ngumu , konokono akafwa na mizigo nyuma konokono eh (konokono) akateswa tumuzomee yuhu "2x konokono akateswa.

Commentaire

Com : Wenye na ulozi njoni , njoni nyinyi wa bebao ulozi rafiki yesu hukualika , njoni nyinyi wa bebao ulozi rafiki huko uko na jificha na ulozi wako

-Uwendapo na ulozi wako

-Urukapo

-Huko nawe " Konokono wa mama wa masikio ngumu