N° 234
ZAKAYO MUTU MUFUPI
1.
Zakayo mutu mufupi wajoli kwa kumona bwana alipanda ku makuyu nao mukuyu ulikuwa pembeni ya njia
Refrain
-Mungu wa Danieli tunayo safari ya kwenda kwa baba tu fateni njia
-Mungu wa Issaka " " " " " " "
-Mungu wa Yakobo "
2.
Katika njia ya kwenda Yeriko , mutu moja alipingwa na wa nyanganyi kuhani akapita , mulawi akapita , mu samaria mwema kamuchukuwa kamupaka mafuta .
3.
"Yesu unena mimi ndimi njia na uzima "2x wanao sumbuka waje kwangu na mizigo yao niwa pumzishe ni wape huru wapate salama , waje kwangu na mizigo yao.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand