TWASIMAMA MALANGONI — Cantiques EUJC

N° 235

TWASIMAMA MALANGONI

1.

Twasimama malangoni kungania ndege za mbingu "Wajoli njoni mufalme ndie utualika "2x

Refrain

Tujitengenezeni ndugu yangu kilio kitakuwako na kusaga kwa meno : wakati ule yoyoyo kilio kitakuwako

Commentaire

Com : -Tutoke mu mambo : wakati ule kilio kitakuwako

-Tutoke mu vitu : " " " " "

-Wajoli wangu : " " " " "

2.

Uwenda ujifurahisha na shuruli za duniani wajoli uwenda unena mimi simba wajoli wao wa chui.

3.

Uwenda unena siwezi kumufwata yesu wa mungu "Siku takapo fariki mwili utaenda wapi ? Siku takapo fariki roho itaenda wapi ? "2x