N° 236
MUNGU UNIREHEMU SAWA NA WINGI WA REHEMA YAKO
1.
Mungu unirehemu sawa na wingi wa rehema yako "Sawa na wingi wa rehema yako uzime makosa yangu "2x ( Eh baba)
Refrain
Usipo tubu makosa yako :awende fasi wewe utubu viote kwa baba
2.
Yesu unirehemu makosa ni nyingi sana ni na tamani kwacha viote ni pate uzima wa milele .
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Usipo tubu na bulozi yako : " " " " " "
Kwa mumbaji wako : " " " " " "
Usipo tubu na buchawi bwako " " " " " "