N° 237
YESU WA MUNGU KAWAMBIA
1.
Yesu wa mungu kawambia wafwasi wake ni mekwisha pewa mamulaka yote , mamulaka ya mbinguni na ya duniani kuko mungu baba.
Refrain
Ni jikiriapo mambo ya duniani "Eh mimi nimeacha viote nimemufwata yesu "2x (Eh mimi )
2.
Tu vihubiri viumbe neno la mufalme yesu "Furahini yoyoyo tukuzeni mufalme "2x wajoli.
3.
Mwenye sikio yeye asikie "2x Ugeuze moyo wako ufanie bwana uduma
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand