WANADAMU DUNIANI — Cantiques EUJC

N° 238

WANADAMU DUNIANI

1.

Wanadamu duniani eh wana tarajia bwana "lla mungu wa mbinguni ao kowe wanadamu "2x

Refrain

Mungu naye kauliza kumbingu yeye na majeshi yake "Nani atenda duniani kuokowa wanadamu "2x

Commentaire

Com :-Mikaeli wende nani atenda duniani kuokowa wanadamu

-Gabrieli

-Gideoni

-Kadima alishuka

-Milemba alishuka

2.

Wenye kwitaji kuokolewa waje wa mufwate yesu kwa magumu na taabu viote vitakoma kwake .