MAPAMBANO YA VITA ILI KUWA KU MBINGU — Cantiques EUJC

N° 24

MAPAMBANO YA VITA ILI KUWA KU MBINGU

1.

Mapambano ya vita ilikuwa ku mbingu akatupwa chini yule joka na jeshi lake haaribu ulimwengu"2x

Commentaire

Com : Ulimwengu wa taabu, akatupwa chini yule joka na jeshi lake haaribu ulimwengu Ziki : " " " " " " " " "

Refrain

Bwana mungu akanena eh baba, eh baba Yayoyo ni chaguwe bwana mumbaji wangu mimi ni taenda kweli kuokoa ulimwengu.

Commentaire

Com : -Ulimwengu wa taabu : Ni chaguwe bwana mumbaji wangu mimi ni taenda kweli kuokowa ulimwengu -Ulimwengu wa ziki : " " " " " " " " "

2.

Vita ikazidi ee)2x jeho va mungu kauliza malaika nani ataenda kweli kuokova ulimwengu.

Commentaire

Com :- ulimwengu wa ziki : nani ataenda kweli kuokova ulimwengu.

3.

Kimia ikazidi ee mwana akanena ya kwamba mimi nitaenda kweli kuokoa ulimwengu.

Commentaire

Com :-Ulimwengu wa taabu : mwana mungu akanena kwamba mimi nitaenda kweli kuokoa ulimwengu -Ulimwengu wa ziki : " " " " " " " " "