N° 245
NDUGU NA RAFIKI
1.
Ndugu na rafiki tazama wingu za mbingu "Kuongoza wana israeli kwingia inchi ya kanana"2x
Refrain
Wanangu wachanga tu shangilie mungu , mungu wa mababu ndie mungu wa ukweli "2x
2.
"Wewe mujoli wangu mujoli umehasi neno "2x ewe mujoli mujoli wangu kwajili ya anasa ya dunia"2x
Commentaire
Com :-Kwa kiburi kia macho kwajili ya anasa ya dunia
-Kwa kiburi kia mwili " " " " "
-Kwa bwivu na chuki " " " " "
3.
Sisi zote pia tulikuwa wana wa mwili tukafwata njia za watu anasa imesonga sana neema ya bwana imekuja kwangu ni meitwa mwana wa uriti.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :-Huyu mungu wa ukweli mungu wa mababu ndie mungu wa ukweli
-Huyu mungu wa Mwambi " " " " "
-Huyu mungu wa neno " " " " "