N° 246
NA KIRI ZAMBI ZANGU
1.
Na kiri zambi zangu na ja kwako ni takaswe kwani maovu ya menishinda ndio maana sijirike .
Refrain
Unitakase baba najaа kwako wewe mungu wangu
2.
Mambo mengi ndani mwangu makufuru Sia acha najaa kwako nitakaswe niwe na uzima wako.
3.
Nini itakayo ni tenga mimi na huduma huu wala baba wala mama awa wezi kunitenga , matajiri , marafiki awa wezi kunitenga (Vita kali ) vita kali wala pepo aviwezi kunitenga.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :-Niwe kama teluji najaа kwako wewe mungu wangu
-Ni fanane mitume " " " " " "
-Unitakase baba " " " " " "