ZAKAYO ALIKUWA MUFUPI — Cantiques EUJC

N° 247

ZAKAYO ALIKUWA MUFUPI

1.

Zakayo alikuwa mufupi "Alipenda kumuona Yesu masiya mwana wa mungu ili apate uzima "2x alipenda kumuona Yesu masiya mwana wa mungu ili apate salama akapanda ku muti wa mukuyu kwa ku muona masiya "Ili aokolewe apate uzima wa milele ,ili aokolewe apate salama ya milele "2x

Refrain

- Makutano nina nini na wewe makutano yoyoya kamu zuiza zakayo

Commentaire

Com :- Makutano ndio wafumu wote makutano yoyoyo kamu zuiza Zakayo

-Makutano ndio bulozi bwangu " " " " "

-Makutano ndio bwivu bwangu " " " " "

2.

Yesu alipo muona alinena ya kwamba ewe Zakayo shuka nita kula nyumbani mwako , ili apate uzima ewe Zakayo shuka ni takula nyumbani mwako ili upate salama.

3.

Asara ilikuwa kwa mutu yule Zakayo alikuwa mufupi katika hekima yake akutambuwa ukweli, alikuwa mufupi katika hekima yake akutambua ni roho.