MIMI MWANA MUPOTEVU — Cantiques EUJC

N° 249

MIMI MWANA MUPOTEVU

1.

"Mimi mwana mupotevu na rudi kwa baba yangu "2x nilisafiri mbali mungu wangu na nyumba ya baba yangu .

Refrain

Ehee baba ufurahive na kurudi kwangu ni lienda mbali

Commentaire

Com : -Mimi huyu mimi mwenye uovu ufurahive na kurudi kwangu ni lienda mbali

-Mimi mwana muovu

-Mina acha viote

-Mina rudi kwako

-Nilipotea mu mambo ya watu

2.

"Shaba ya Yesu alikuja duniani "2x ni kutafuta kilicho potea ndio wale watendao maovu.

Commentaire

Com : -Wenye kutafuta kilicho potea ni kutafuta kilicho potea ndio wao watendao maovu

-Wa tendao zambi

-Yesu mwana wa mungu

-Yesu mukombozi wetu