UWELE NA SHIDA — Cantiques EUJC

N° 250

UWELE NA SHIDA

1.

Uwele na shida ni mbele yangu daima jazareni na maovu je vita kama ili niende kwetu njiani mwa okovu.

Refrain

Bwana mungu wangu uniwokoe ni towe shimoni mwa shetani ila wewe tegemeo fangu unihuiye razi.

2.

Bwana mungu uzizimeni zuru bwana tumelemewa na tatizo kwani tumevuja tarati yako bwana uni huwivye razi.

3.

Bwana uwa shinde hawa madui zangu waletwe hukumuni wataya rishwe kwa siku zile bwana machoni pake kristo.