MUNGU AKATUMA MWANAXE YESU — Cantiques EUJC

N° 251

MUNGU AKATUMA MWANAXE YESU

1.

Mungu akatuma mwanake Yesu kwa mateso yetu na vilio vyetu ye yote amwaminie asife kamwe bali apate uzima wa milele eé ! aleluya.

Refrain

Jehova mungu ée twakushukuru mungu baba , Mungu baba e twakushukuru bwana yesu , yesu mwanae twakushukuru roho damilifu kwa faraja yako.

2.

Yesu akateswa na magonjua jeraha mikononi nyingine miguuni "lli sisi watu tupate uzima tusirejee vifungoni mwa shetani na mateso yake "2x

3.

Yesu akatwatchia agizo lake mimi na watesa wale ni wa pendao "Ha taabu zao yote itakoma wa kifata neno la mungu baba jehova mungu wao"2x