N° 252
GETESEMANE
1.
Getsemane "3X (getesemane) chanzo cha uzaifu wa watu.
Refrain
Enyi wajoli , enyi wajoli jazareni na mashaka munayo jibebesha , enyinyi mwache kusumbukia mu mambo ya kujitenga na mungu wa uzima .
2.
"Alipo omba mwana wa mungu getesemane "2x (alipo omba ) djasho kutoka djasho kutoka wafwasi wake wenye kulala "Nalia baba kikombe kia mateso kinipitie mbali "2x
3.
"Adui wa mutu , adui wa mutu uonekana nyumbani mwake "2x alimutowa , "Aliemutoa aliemukana mufwasi wake "2x nalia baba kikombe kia mateso kinipitie mbali.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :-Kuchafua wengine mwache kusumbukia mu mambo ya kujitenga na mungu wa uzima
-Kufundisha wongo " " " " "
-Kwa kufwata anasa " " " " "