N° 254
YESU MWANA MUSALABA
1.
"Yesu mwana musalaba alilia kwa babae"2x vita na vita unijia nimetoa roho yangu.
Refrain
"Yesu alilia baba mbona umeniacha ni meteswa duniani "2x
2.
"Wametesa mwili wangu wame mwanga damu yangu "2x Eh ninalia kwa baba Eloi Eloi Eloi Eloi baba mbona umeniacha.
3.
Bwana mungu wa rehema ukumbuke kazi ngapi nilifanya duniani kikombe kinitiie mbali.
Commentaire
Com :-kuombea watu nilifanya duniani kikombe kinitiie mbali
-kufukuza pepo " " " " " "
-kufariji watu " " " " " "
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :-Mateso mwilini baba mbona umeniacha ni meteswa duniani.
-Mukuki mbavuni " " " " " "
-Nafiolewa mimi " " " " " "