N° 257
YESU KATIKA MULIMA WA MIZEITUNI
1.
Yesu katika mulima wa mizeituni nao wa fwasi wake wa kamufta wa kamwambia hivi hili tupate kuomba kwajili ya majaribu , hili tupate kuomba kwajili ya vishawishi .
2.
Kisha kajitenga nao kwajili ya kutupa jiwe pale pale akapiga magoti yesu akalia kwa baba kwajili ya kikombe iki kinitiie mbali.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
**_Ref : Sikia kilio cha yesu wa mungu wana wangu mu amke tuombe kwa nini waminifu mwapenda kulala wana wangu mu amke tuombe , simoni , petelo , yakobo , yoane wana wangu mu amke tuombe ._**
**_Com : -Waminifu wanene mwa penda kulala wana wangu mu amke tuombe_**
**_-Watoto wa Kyungu " " " " " "_**
**_-Waminifu wa betheli " " " " " "_**