WAKENDA NA YESU KRISTU — Cantiques EUJC

N° 259

WAKENDA NA YESU KRISTU

1.

Wakenda na Yesu kristu kujichukulia nira yake musalaba wa kamupigilia misumari mikononi ingine miguuni wakamupigilia pia na wanyanganyi yesu hakuwa na jambo yoyoyo akangongomewa.

Refrain

(Eh wajoli) wakenda naye jamani yesu amekwisha sulubiwa , mu marafiki wengi yesu amekwisha sulubiwa ,wakenda kanisani yesu amekwisha sulubiwa wakachoma mukuki moyoni damu na maji zikatoka yesu akuwa na jambo yoyoyo akangongomewa.

2.

Walipo sulubisha yesu kristu juu ya musalaba wa askari waka chukuwa mavazi , mavazi ya yesu wa kayagawanya joo lake wakalipikia kura anasa za ulimwengu yoyoyo zilikufa kwake.