N° 260
MOYONI MWANGU HAMUNA AMANI
1.
Moyoni mwangu hamuna amani ni kikumbuka siku iyo ya bwana itakuwa ni kilio na kusaga kwa meno.
Refrain
Eh mumbaji wangu usiniache nipate haya kumbuka taabu na mateso yangu niokowe kwa rehema nisiangamie .
2.
Nilipo.Amini uduma huo nika jifanya mukamilifu nikazarau watu wengine ukiniacha bwana wangu nitasema nini.
Commentaire
Com :-Nitasema nini ukinyacha bwana wangu nitasema nini.
-Watanita mulozi " " " " " "
-Watanita muchawi " " " " " "
-Watanita shetani " " " " " "
3.
Kweli baba yakini bwana (mashauri ) (mafundisho ) mengi ni mekwisha pewa ya kunitowesha mu maovu yote ni chague bwana wangu ni kakuhudumie.
Commentaire
Com :-Nikafanye huduma nichegwe bwana wangu nikakuhudumie.
-Nika hubiri watu " " " " " "
-Nika ombee watu " " " " " "
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :-Siku iyo ya mwisho niokowe kwa rehema nisiangamie.
-Mimi mwenye mateso " " " " " "